Tanzia: Msanii Mashaka (Ramadhani Ditopile) wa Kaole Sanaa Group afariki dunia

Pole sana mzee Mashaka wa mambo hayo, kitambo sana, Mola wetu mtukufu akupunguzie adhabu ya kaburi na ikimpendeza zaidi akutunuku pepo ya juu sana jannatul firdaus.
 
Kijiwe cha Kahawa Masjlis Cafe?
 
Dah! Mzee Mashaka kadanja?! RIP... kitambo sana enzi hizo! Nilikuwa na-feel sana uigizaji wake! Kingine nilichokuwa na-feel ni vile alivyokuwa mtu mzima lakini alikuwa anatembea kitemi ile mbaya!

Rest In Peace!
 
Dah! Kweli aisee... nimeikumbuka hii tamthilia ambayo kama si kuitaja wala nisingeikumbuka hata chembe! Kama sikosei huyu Kisa ni yule alikuwa ana-act ulemavu au alikuwa mlemavu... sijui! In real world, huyu Kisa hivi sasa anasikika kwa namna yoyote?
Hakuwa mlemavu kweli..ni kuigiza tuu..kwakweli sijui yu wapi huyu mlimbwende wa zamani
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
BTW ana undugu na comrade Ditopile Ukiwaona?
 
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.

Nilimfahamu akiigiza hata kabla ya TV hazijaanza

Aliigiza kwenye michezo ya radio, nakumbuka sana ule mchezo alioigiza kama MENEJA MIKUPUO.


R. I. P. Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…