Tanzia: Msanii Mashaka (Ramadhani Ditopile) wa Kaole Sanaa Group afariki dunia

Tanzia: Msanii Mashaka (Ramadhani Ditopile) wa Kaole Sanaa Group afariki dunia

Sana, kuna dada mmoja aliitwa peace sijui yuko wapi, akina tabia. Wakati huo maigizo yakikuwa na mvuto kuliko bongo movie
undefinedsana enzi zao hawa na kina seki,dr chen,mambo yalikuwa mambo,Rip
 
Sana, kuna dada mmoja aliitwa peace sijui yuko wapi, akina tabia. Wakati huo maigizo yakikuwa na mvuto kuliko bongo movie
undefinedsana enzi zao hawa na kina seki,dr chen,mambo yalikuwa mambo,Rip
 
Pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
 
Sisi wote ni wa Allah na hakika kwake ndo marejeo,nenda salama kipenz cha wengi,japo kuna watu wanateka watu wanajua wataishi milele....
 
Kwa kweli ni huzuni moyoni kumpoteza baba yangu wa hiari mzee Mashaka, huyu mzee alikuwa na roho ya kipekee sana kila mtu alimpenda mazishi yatakuwepo ilala bungoni japokuwa kwake ni ubungo kibo[emoji22][emoji22][emoji22]..inauma sana mzee umefariki ghafla ingali bado wanao tulikuwa bado tunakutegemea
Ilala bungoni makaburi yako wapi? Au umechanganya na mchikichikini
 
Jamaa alikuwa anajua Sana kuigiza Mtu Mwenye busara

Kuna Moja aliigiza Mama yake anamsumbua Sana Mke wake Kwa Visa lakin alikuwa Na subira Na hekma

Hawa watoto wa Siku hizi Sijui Sultan Sijui Mlele naona Kama Sijui wachekeshaji tu
 
Jamaa alikuwa na mabalaa sana apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom