TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Unaweza ukazitaja hizo gangs??? Au unaropoka tu???? Hizo gang zenyewe unazisoma google hata Marekani hujawahi fika foolish

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa mjingaaa kweli,
Yani unadhani unachojua ww ndo sahihi,
Unatolea wenzako maneno makali utadhani baada ya kutoka humu kuna mshahara wa kukufanikishia kikombe cha kahawa utapata,
Unashindwaje kuhoji na kujibu bila dhihaka,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuelewesha cause wanaoishi au waliowahi kuishi Marekani wanajua,nampa elimu tu sio dhihaka,wewe huoni yeye hajamind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si unajua angetoa hiyo documentary angeharibu deal za watu za trillions of dollars wanazofaidika nazo kwa huu ugonjwa wa magumashi aka ukimwi. So ilibidi amalizwe asimalizie project hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.. ? Kwanini wasingemyanganya hizo dawa ili wapige manoti, na ilikuwa anatoa Documentary sio dawa au documentary ingesema dawa ....?,

Hizi conspiracy theories bila facts hazina tofauti na hadithi za Sungura na Fisi....
 
Si walimuwahi...wakampa.kesi aliposhinda kesi maana mahakama ilimuagiza alete wagonjwa 7 kama ushahidi yeye akaleta 77. Akashinda kesi. Ndo ghafla akafariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakufariki ghafla, aliishi miaka kadhaa baada ya kushinda kesi. Kifo chake kilitokea alipokuwa anakwenda kwao Honduras akiwa na $30,000 cash. Immigration walimfungulia kesi ya money loundering alikaa mahabusu muda mrefu akikosa dawa. Alikataa kutibiwa na dawa za kizungu akitaka dawa za laboratory yake.
 
Waambie mamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RNB wanakesha kuimba mapenzi,Hip Hop wanaikosoa Serikali,sio kila anayeuawa na bunduki ni gang related violence, nyingine ni serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Snop dog kila siku anaimba nyimbo za kumtukana Trump na kwenda kuvuta bangi karibu na WH.Kwa nini yeye asipigwe risasi kama issue ni kuikosoa serikali tu unauawa?...Inaonyesha akili yako bado mfu sana.
 
Ina evidence hao wagonjwa wamepona??? Au unaropoka baada ya kula maharage kwa mama ntilie??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu unajua zaidi ya lugha za vijiweni za wavuta bangi wenzio.Mnakula bangi magetoni mnapigana pistol wenyewe kwa wenyewe afu uwasingizie CIA?.CIA waache ku deal na Warusi na Wachina huko wanaoitisha USA waka deal na wavuta bangi kama nyie?..Whats a nonsense..
 
CIA sio wapumbavu kiasi hicho mkuu
Huwezi lazima watu wawe aware so lazima utangaze ili watu waamke ndo hapo lazima wakuwahi. Nakwambia ukitibu ukimwi kansa etc jua haumalizi kwaka wanakuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe Kansa na Ukimwi haziwaui ? au dawa wanazo ? Na wewe hizi nyeti unazipataje na ni kina nani hao ?
 
Aliekudanganya kuwa hao wazungu hawauani na hawaui watu nani ? Hizo silaha wanazotengeneza ni kwa ajili ya nani au nini ? Huku Afrika kuna viwanda vya silaha?
 
Amepigwa risasi 6, 5 kwenye kiwiliwili 1 kwenye kichwa. Taarifa zinasema upigaji huo ni military style hit. Na kitendo cha kupigwa risasi Nipsey kimefanyika kwa haraka sana. Wapigaji ndani ya sekunde tu kazi wakawa wameimaliza.

Downtown ya LA miezi michache iliyopita US National guard walikuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi na LA hiyo hali ikitokea history ya LA inaonesha kuna gang wars.

Na gang wars ndani ya LA yamepungua sana kwa hiyo raia wanajiuliza sababu ya National guard kuwepo ilikuwa ni nini. Kwa wanaofuatilia hip hop bila shaka wanafahamu west coast mazingira yao yapoje.

Kuuawa kwa mshkaji Nipsey itasababisha baadhi ya makundi ya kihuni yanayomkubali kutaka kulipiza kisasi kwa yoyote watakaye mhisi. Matokeo yake itakuwa ni piga nikupige mvua ya risasi kwa makundi ya kitaa.

Hali ya namna hiyo ikitokea US government itapata sababu kwamba ni beef za kitaa za black ndiyo iliyo sababisha Nipsey kuuliwa.

Kwa hiyo, black wanahamasishana makundi yote ya kihuni wasifanye vurugu ya aina yoyote na kurushiana risasi in LA.

Ngoja tuone huu mchezo utakwendaje.
 
Wewe ndo kitobo kweli,ndo shida ya kuzaliwa na mwanamke barmaid,mama ako alipitiliza siku zake kwenye madanguro huko baba ako akasahau kumwaga nje ndo ukazaliwa wewe tahira unakuja kuongea mashudu hapa, jaribu kuficha upumbavu wako basi,mbona unakuwa kama sio shoga wewe???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu unalazimisha.tulia kwanza uelewe unachoandika.ulipozungumzia hao wagonjwa wako wawili tuliotangaziwa dunia nzima ndo nilipata mashaka na unachokitetea hapa.kama hujui piga kimya ujifunze vitu.dunia ina mengi.
 
Duh...alikuwa mbishi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Snop dog kila siku anaimba nyimbo za kumtukana Trump na kwenda kuvuta bangi karibu na WH.Kwa nini yeye asipigwe risasi kama issue ni kuikosoa serikali tu unauawa?...Inaonyesha akili yako bado mfu sana.
Kama inavyosemekana pia
Kuna mambo ya kuingilia mitkasi ya watu
Lazima wakuondoe

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu unalazimisha.tulia kwanza uelewe unachoandika.ulipozungumzia hao wagonjwa wako wawili tuliotangaziwa dunia nzima ndo nilipata mashaka na unachokitetea hapa.kama hujui piga kimya ujifunze vitu.dunia ina mengi.
Unajua wengi wa watu hawafahamu ndani ya US madaktari wengi wamefilisiwa kwa kufungwa biashara zao na wengine kunyimwa air time. Hata wakiweka video zao YouTube zinafutwa.

Fuatilia maisha ya madaktari waliyo gundua dawa za kansa.
 
Jana baada ya tukio celebrities wengi weusi walikuwa wakiandika kwenye insta page ya GF wake wakimpa pole na kumuomba awe strong. Wana mtoto mmoja na mrembo ni mrembo hasa na walikuwa wakipendana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…