popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
We jamaa mjingaaa kweli,Unaweza ukazitaja hizo gangs??? Au unaropoka tu???? Hizo gang zenyewe unazisoma google hata Marekani hujawahi fika foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unadhani unachojua ww ndo sahihi,
Unatolea wenzako maneno makali utadhani baada ya kutoka humu kuna mshahara wa kukufanikishia kikombe cha kahawa utapata,
Unashindwaje kuhoji na kujibu bila dhihaka,?
Sent using Jamii Forums mobile app