Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Mhhhh kwa jinsi nilivyomuona kwenye msiba wa Mez B! Hali yake ni mbaya jamani! Mungu amsaidie.
R.I.P wii.

Haji Nura ni classmate wangu O level pale Mazengo Sec enzi hizo. Juzi nilikuwa natoka Kahama nikashuka pale Dom kwa bahati nikaonana na met wangu pia O level salaam ya kwanza akaniambia kaka wanachember tunaisha acha tu, Nura mwenyewe yupo hoi sasa hivi ni hatari tupu. Niliona kama masihara kwakuwa jamaa alikuwa kachangamka kwa lager. Sasa nayakuta humu jf.
R.I.P shem.
Nura get well soon.
 
Sijajua, ila niliwahi kumsikia akisema kua alifanyiwa oparesheni ya utumbo pia hapo juzi kati.

Au hajapata tiba vizuri unajua cku hizi ugonjwa una gharama sana pia kipato nacho kinasaidia utibiwe vizuri
 
Au hajapata tiba vizuri unajua cku hizi ugonjwa una gharama sana pia kipato nacho kinasaidia utibiwe vizuri

Hata sijui.Umeona jamaa SaaMbovu alichosema hapo juu? Nadhani utajua vizuri nilikua namaanisha nini.
 
Last edited by a moderator:
alipataga ajali akaumia kichwq na kusahau kila kitu hadi jinsia yake

Duuh mwanadamu anaishi kwa mitihani bt smtym hii mitihani inakua sio fair instead y kumpata chenge mwenye hela inampata m2 ambae sio,alipata ajali lini pia shinyanga ndio alikua anafanyia kazi
 
Hiyo ajali mbona alivyohojiwa alikuwa haweki wazi? Alisema tu ilitokea salenda briji tu basi? Mwenye kumbukumbu anaweza akatuwekea link iliyoelezea hiyo ajali? Kama alifanyiwa operation ya kichwa au utumbo mbona saambovu anaripoti alikuwa keroro alikutana na akamwambia chamber squad tunakwisha? Mtu mgonjwa wa hali kama hiyo anaruhusiwa kunywa monde? Wasanii wawe makini otherwise vifua na moyo vitawamaliza.
 
Hiyo ya oparesheni ya utumbo alisema kitambo kidogo na alikua kwao.Alivyokutana na SaaMbovu ni juzi kwenye msiba wa Mez B.
 
Hiyo ajali mbona alivyohojiwa alikuwa haweki wazi? Alisema tu ilitokea salenda briji tu basi? Mwenye kumbukumbu anaweza akatuwekea link iliyoelezea hiyo ajali? Kama alifanyiwa operation ya kichwa au utumbo mbona saambovu anaripoti alikuwa keroro alikutana na akamwambia chamber squad tunakwisha? Mtu mgonjwa wa hali kama hiyo anaruhusiwa kunywa monde? Wasanii wawe makini otherwise vifua na moyo vitawamaliza.

Hujanielewa vizuri kaka. Aliye kuwa keroro ni met wangu mwingine siyo Nura. Huyo jamaa ndio akanipa story kwa ufupi kuwa jamaa yupo hoi na wanachember tunaisha. Kwa maana watu wote ambao walisoma kipindi hicho cha akina Mangwea, Mez B, Nura na Athuman Kabongo/ Dark Master ndio wote hupenda kujiita wanachember.
 
we unadhani ngwea alikosea alipoimba mitungi blunt mikasi na huenda walikua wanashea demu mmoja kama juma nature na chege wataisha hao
 
we unadhani ngwea alikosea alipoimba mitungi blunt mikasi na huenda walikua wanashea demu mmoja kama juma nature na chege wataisha hao

Kwani ngwea nae alienda kwa kifua na moyo ??
 
R.I.P shem.

Ila wengine tunamjua vizuri zaidi Nura (kimatamshi), nadhani italeta picha rahisi zaidi ukiambatisha taarifa na moja ya kazi zake zilizompa jina...kwa mfano ukisema Noorah aliyeimba "ice cream"....
 
muimbaji wa muziki wa kizazi kipya. ndg noorah kutoka kundi la chamber squad,amepata msiba mkubwa baada ya mkewe kufariki kwa ugonjwa wa kifua
 
ila huu dogo naye afya yake imetetereka siku za hivi karibuni...
 
Pole Noorah na RIP Shemeji.
EATV SOURCE.jpg
EATV SOURCEE.jpg

Cc: LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:
Huo ugonjwa wa kifua mara mez B, mara chriss alex sasa mke wa noorah
 
Back
Top Bottom