Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

hawa wasanii wa bongo bili kukubali kuwa wamecheza sana peku kwenye miba hivyo wanahitaji tiba watakufa wote.
ni lazima wakubali kuwa kuishi kwa matumaini sio kosa kwani kosa lilishafanyika
 
Swala la ugonjwa wa Noorah linanisikitisha sana...hivi sisi kama jamii hatuwezi kusaidia lolote afya yake irejee?
 
Namkubali sana Noorah, Mungu akuponye bro na pole kwa majanga ya kufiwa na mke
 
we unadhani ngwea alikosea alipoimba mitungi blunt mikasi na huenda walikua wanashea demu mmoja kama juma nature na chege wataisha hao

Nature na Chege walikuwa wanashea?
 
Pole Nora hope you get well soon!!! Huko Shy land kwa uangalizi maalum kusitafsiriwe vingine
 
Swala la ugonjwa wa Noorah linanisikitisha sana...hivi sisi kama jamii hatuwezi kusaidia lolote afya yake irejee?

Hulka ya binadamu ni kufurahia matatizo ya mtu kuliko mafanikio yao! When you are down is the moment you sense the true feelings of human souls towards you! ROHO MBAYA
 
Mwenye picha ya Norah sasa aweke tumuone!

Recently not now 1425431446285.jpg
 
Huyo ni Nora mbongo movie maarufu mke wa hayati sangoma ngw'izikulu jilala aliyefia Msumbiji/Angola? Kwa ajali ya gari

ok., hapa twamzungumzia NOORAH,, yule kijana wa 'ice cream'.

Btw huyu Norah yuko wapi sasa, alivuma sana wakat wake.
 
Back
Top Bottom