Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Tanzia: Msanii wa Bongo Fleva, Noorah afiwa na mkewe

Last edited by a moderator:
Daaah pole Noorah ni Juzi juzi tu tumecheza arus yako kwa mzee Ngarama, Leo tena hayo! Pole sana najua Mungu atakufanyia wepesi, na pia akuponye na Maradhi yanayokusumbua .... RIP shemeji
 
Mhhhh kwa jinsi nilivyomuona kwenye msiba wa Mez B! Hali yake ni mbaya jamani! Mungu amsaidie.
R.I.P wii.

Daaah!
Nimeshtuka!
Nimehuzunika!
Kwani kuna nini jamani!
 
Msanii Norah cjui ndo jina lake sahihi lakin afiwa na mkewe kwa ugonjwa wa kifua kilichombana hadi kuwekewa oxygen wakati huohuo Norah mwenyewe anaumwa kichwa yupo kwao shinganya kwa uangalizi maalum.

Rip Shem

anaumwa kichwa au karukwa na akili? mi ninacho jua jamaa ni mteja wa milembe!
 
Hujanielewa vizuri kaka. Aliye kuwa keroro ni met wangu mwingine siyo Nura. Huyo jamaa ndio akanipa story kwa ufupi kuwa jamaa yupo hoi na wanachember tunaisha. Kwa maana watu wote ambao walisoma kipindi hicho cha akina Mangwea, Mez B, Nura na Athuman Kabongo/ Dark Master ndio wote hupenda kujiita wanachember.

Huwezi kuamini mpaka leo nina daftari la notes za engeneering science la athuman kabongo a.k.a dark master, nakumbuka mbali sana.....! Mambo ya gima nini,kulala ujamaa middle
 
Huwezi kuamini mpaka leo nina daftari la notes za engeneering science la athuman kabongo a.k.a dark master, nakumbuka mbali sana.....! Mambo ya gima nini,kulala ujamaa middle

Hahaaaa safi sana. Sasa daftari la Dark Master lilikuwa na notes za kutosha kweli maana alikuwa ni mtu wa kula kuku sana.
 
Sasa na wewe mwanamke anaweza kuwa na mke?? Soma vizuri heading usikurupuke, Tottenham Hotspur kuna mchezaji anaitwa Rose au mwanamuziki anaitwa usher kwa hiyo usichanganyikiwe na majina tu hayo!

Muongeze tena Newcastle United kuna mnachezaji anaitwa Anita.
 
Mnaomjua Noorah plz kaeni karibu nae,maana.ukiwa unaumwa afu ukafiwa na mkeo,inaeza kuwa ticket hiyoy ya kukuondosha na wewe pia
 
Hata sijui.Umeona jamaa SaaMbovu alichosema hapo juu? Nadhani utajua vizuri nilikua namaanisha nini.

Nimewaza kwa sauti kubwaaaa......
Nikaelewa unacho maanisha baada ya kuunganisha na dot
 
Last edited by a moderator:
hiki kifua hiki ni hatarii,Noorah mwenyewe damu yake ina vimelea vinavyosababisha ugonjwa wa kifua.RIP Mrs Noorah

Huu ugonjwa wa kisikuizi umekua na majina mengi...!!
 
Back
Top Bottom