Mhhhh kwa jinsi nilivyomuona kwenye msiba wa Mez B! Hali yake ni mbaya jamani! Mungu amsaidie.
R.I.P wii.
Sijajua, ila niliwahi kumsikia akisema kua alifanyiwa oparesheni ya utumbo pia hapo juzi kati.
Mhhhh kwa jinsi nilivyomuona kwenye msiba wa Mez B! Hali yake ni mbaya jamani! Mungu amsaidie.
R.I.P wii.
Unamkaribia warumi hadi misibani.
alipataga ajali akaumia kichwq na kusahau kila kitu hadi jinsia yake
Hiyo ajali mbona alivyohojiwa alikuwa haweki wazi? Alisema tu ilitokea salenda briji tu basi? Mwenye kumbukumbu anaweza akatuwekea link iliyoelezea hiyo ajali? Kama alifanyiwa operation ya kichwa au utumbo mbona saambovu anaripoti alikuwa keroro alikutana na akamwambia chamber squad tunakwisha? Mtu mgonjwa wa hali kama hiyo anaruhusiwa kunywa monde? Wasanii wawe makini otherwise vifua na moyo vitawamaliza.

Tumwombee apone haraka arudi kwenye gameila huu dogo naye afya yake imetetereka siku za hivi karibuni...
Tumwombee apone haraka arudi kwenye game