Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyezi mungu amlaze pema peponi.Msanii Norah cjui ndo jina lake sahihi lakin afiwa na mkewe kwa ugonjwa wa kifua kilichombana hadi kuwekewa oxygen wakati huohuo Norah mwenyewe anaumwa kichwa yupo kwao shinganya kwa uangalizi maalum.
Rip Shem
Pole sana noorah(nuura) hivi vifua kuna tatizo hapa!!
jiandae hata wewe ndo kitakachokuua
Msanii Norah cjui ndo jina lake sahihi lakin afiwa na mkewe kwa ugonjwa wa kifua kilichombana hadi kuwekewa oxygen wakati huohuo Norah mwenyewe anaumwa kichwa yupo kwao shinganya kwa uangalizi maalum.
Rip Shem
Mhhhh kwa jinsi nilivyomuona kwenye msiba wa Mez B! Hali yake ni mbaya jamani! Mungu amsaidie.
R.I.P wii.
Mhhhh kwa jinsi nilivyomuona kwenye msiba wa Mez B! Hali yake ni mbaya jamani! Mungu amsaidie.
R.I.P wii.
Na wewe ulihudhuria?we utakuwa msanii ndo maana hukosekani hii jukwaa jirani
Nini tena mbna unatisha wa2 nifah
Msanii Norah cjui ndo jina lake sahihi lakin afiwa na mkewe kwa ugonjwa wa kifua kilichombana hadi kuwekewa oxygen wakati huohuo Norah mwenyewe anaumwa kichwa yupo kwao shinganya kwa uangalizi maalum.
Rip Shem
Kwakweli jamaa ni wa kumuombea!Hivyo tu....kufiwa na mke sio jambo dogo.
alipataga ajali akaumia kichwq na kusahau kila kitu hadi jinsia yake
Kwani toka amepata ajali hali yke haijarudi sawa