TANZIA Tanzia: Msanii wa kundi la Jagwa Music, Jack Simela afariki

TANZIA Tanzia: Msanii wa kundi la Jagwa Music, Jack Simela afariki

Vyombo vyetu vya habari havituhabarishi performance hizi hadi wapewe vibahasha.
Halafu cha kustaajabisha daily wanaitwa ulaya wakaperfom na kumbi zinajaa nyomi kuliko hata akina kiba au Dai tena wote wanaojaa ni wazungu weupe, juzi tu walikuwa Uganda kwenye festival

Huku Bongo heshima hawakupewa ile waliyostahili
 
Utashangaa TBC inakuwekea festivals za walami watupu au wachina tu wakati kuna watanzania wanaperform ile mbaya.
Kwa maini yangu Diamond ameweza kuteka kimataifa baada ya kutumia vionjo vya mnanda.
 
huu mziki ulisumbua sanaa.
mpaka ukaitwa wa wahuni.kitaani kukipigwa mjiandae kwa fujo.
Mara nyingi wapenda burudani hasa za kwenye matamasha au club wanauzoefu wa fujo baada ya burudani.
Washamba wachache ndio wanaoupaka matope muziki huu...ila hawawezi kuufuta.
Kutoka mdundiko-mchiriku-mnanda-Singeli
Hakuna namna ya kuutokomeza mziku huu wa asili na wa kipekee.
 
fb_img_15443421216253938-jpg.961315

Nini kinawafanya wasanii wengi kufa kwa ajali barabarani?
 
Halafu cha kustaajabisha daily wanaitwa ulaya wakaperfom na kumbi zinajaa nyomi kuliko hata akina kiba au Dai tena wote wanaojaa ni wazungu weupe, juzi tu walikuwa Uganda kwenye festival

Huku Bongo heshima hawakupewa ile waliyostahili

fuatilia maisha yao utakata tamaa, wanabaki kufurahia kupanda ndege, utajiri kwa wengine.
 
Yaani ukiwa DEREVA SIKU hizi kunywa kabisa via red bull kukuepushia uchovu ,ajali Nyengine ni usingizi tu.

Yaonekana alilifuata roli kwenye upande wake
 
Kweli mkuu alafu ukiangalia wapo kiasilizaidi yani weachatu nikikumbuka nyimbo zake huyu jamaa da!
Hawa ndio wale wanaowekaga mikakati ya kufungia nyimbo na wasanii.
Jagwa wameliwakilisha Taifa pengine kuliko hata Diamond ingawa ukweli huwa hausemwi.
 
Back
Top Bottom