McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Duh pumzika kwa amani Dogo Jack Simela almaarufu rafiki wa kweli,hakika hili ni pengo kwa wapenzi mnanda/mchiriku kwa ujumla.
Bado nawaza kwa nini vifo vya hawa wanamuziki wa mchiriku hua vinafanana sana yaani hata ukisikiliza nyimbo zao utagundua ajali na kuuwawa ni sababu kubwa inayochukua maisha yao.