McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Hisani Gari Kubwa
gari kubwa hawa hapa nyimbo Ali Mwinyi.enzi hizo za utawala wa mwinyi
Ni kweli. Hawa jamaa wameitangaza sana Tanzania hasa Ulaya. Hata hawa wasanii wa kizazi kipya hawawafikii. Hawa jamaa wanapoenda nje music wao wanacheza zile sehemu zenye wazungu wengi tofauti na wasanii wa kizazi kipya ambao hupiga music kwenye kumbi zinazojaa waafrika.Kuna watu wanajiuliza kiswahili kimepandaje chati level ya kimataifa ...hawa wasanii ndio wanaokipaisha.
Hawa ndio wale wanaowekaga mikakati ya kufungia nyimbo na wasanii.
Jagwa wameliwakilisha Taifa pengine kuliko hata Diamond ingawa ukweli huwa hausemwi.
gari kubwa hawa hapa nyimbo Ali Mwinyi.enzi hizo za utawala wa mwinyi
Unaweza kuziweka humu nasi tuzifaidiNina album 4 za Jagwa.
Asha na Pili nazipenda sana