TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Jomoni niimbie basi
 
Dah nilikuwa naipenda sana sauti yake hata mimi. yeye na juliana kanyomozi,emmanuel nkulila ndio nawakubaligi kwa ug.
Rema namakula mchuzi hatari sana

Juliana eddiba
 
Kweli kabisa,

kwenye hiyo where you are - kuna mstari anaingia "rohoni, umenishika kishenzi, natamani tuwe wote right there....."

Dah! RIP.

Rohoni unanitesa kishenzi-ii natamani kuwa right there where you are, babyyy umenishika kisheziii. Nakuwaza nakuwazaaa ..Girl I'm looking for you.....

Kati ya nyimbo ninazozipenda mno. Radio alikuwa mkali. Tumzika kwa amani mukwano.

 
R.I.p radio nilikuwa napenda sana wimbo wake wa zuwena.

Mm ndio maana huwaga naishiaga kuchonga tu mdomo nikiambiwa mambo ya ngumi natimua mbio sio za nchi hii madhara yake ndio kama hayo sasa..kazi ya mungu haina makosa

Unaogopa kufa hizo mbio unaweza kuanguka bado ukafa
 
Mimi watu wa hiv(watu wa starehe)wakifa hua susikitikii kufa kwao !

Bali hua nabaki kutafakali kulingana na mandiko nayosoma kwenye vitabu huko wanakokwenda inakuaje ?
 
Unaogopa kufa hizo mbio unaweza kuanguka bado ukafa
Kukimbia nilikomanisha mm yahni nikisikia mambo ya ngumi yahni hata kama nilikuwa naongea maneno ya kumuumiza moyo napunguza taratibu au nanyamaza....kinga bora kuliko tiba mkuu
 
dah radio mwanangu huyo kashakwenda dah!!
 
Unamuongelea Weasel ndyo mdogo wa jose..
 
asee..nikuwa,sifahamu..hivi,leo..tuu,nikuwa..naangalia,wimbo..wake..yeye,wessel..na..wizkid-dont..cry.
ase..apumzke..kwa..amani.
 
Aisee alikua na hali mbaya hadi museven alimchangia pesa,wanamuzik wenzie walikusanyika kwa maombi apone haraka. Rest well Moses
4FEB KANISA LILISHAPAMBWA PICHA ZAKE KWA AJILI YA MAOMBI LOH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…