Millard ayo anasema ajali, clouds fm na Jf wanasema ugomvi, jaman tz sources zina kanganya.
Ni ugomvi ambao ulikuwa hivi...
Alikwenda site anakojenga. Alipotoka akapita club kupiga vyombo.
Vyombo vilipokolea akaanza mtukana mwenye club kuwa kafulia hana hata ela ya kumnunulia red label john walker.
Jamaa akaona isiwe tabu akamwambia waiter ampe radio red label chupa moja.
Radio alipopewa badala anywe akaifungua na kuanza kuzunguka kila meza mle club anamwaga.
Jamaa akamaind na kuamuru baunsa wamtoe ndipo ukazuga ugomvi walipomtoa nje katika ugomvi akaumia kichwa damu ikamwagika kwenye ubongo.
Alifanyiw operation akawa ameanza kuonyesha matumaini lakini bahati mbaya Uganda kuna jamaa anajiita Brian white ni pedeshee ambae kawanyazisha akina jack pemba huko.
Yani ni kijana ni ana pesa kufuru akina jack pemba walitaka shindana naye wame surrender.
Kwakuwa radio alikuwa ICU walikuwa hawaruhusu watu kuingia asije pata infection.
Sasa huyo Brian White akaenda pale hospital jumatatu hii na wapambe wengi waandishi wa habari na chameleon.
Kufika akatoa ela za uganda milion 25 na akasema yeye atasimamia bill zote hata kama jamaa ikihitajika apelekwe nje.
Hadi ma doctor na manesi akawatia pesa maana jamaa ni money weather wa uganda.
Kwa sifa na wakashindwa kumzuia akaingia ICU na wapambe.
Sasa jana ndo ikasemekana hali ya radio imekuwa mbaya kwakuwa kapata infection kwenye kidonda alichofanyiwa operation na wakadai haruhusiwi mtu yoyote kumuona kwakuwa wanahisi infection aliipata suku brian white alipomtembelea.
Na jana rais museveni alitoa uganda shilings milion 30 na leo ilikuwa redio apelekwe south africa kwa matibabu zaidi.
Rip radio