TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

daaahh so sad aiseeee ...Jamani kama mungu yupo kweli tuanze kufuata aliyotuagiza..maana tunapoelekea huku nihatari
 
Huyu jamaa tukiwa Mzumbe chuo pale mkwawa room No. 221 na rafki yangu tunaskiza ile bread and butter tukawa mashabiki Sana wa hili kundi mpka leo. Inasikitisha sana, nimeshinda naskiza nyimbo zao home na kwenye gari...RIP...kifo aisee ni noma. Pole Chinavach shabiki wa nguvu pole na Weasel. Kila nyimbo ya hawa jamaa nliiipenda na ninayo daah
 
Issue ilikuwa nini mpaka adundane na mlinzi????maana hawa wasanii akili zao bangi sana
 
Ndo huyu alikuwa na mwezake radio&weasel wakaimba nyimbo ya mr.ability
 
Radio na Weasal ni watu wawili tofauti,naona humu wengi tunachanganya...Radio alikuwa rafiki wa kiti cha kwanza wa Mdogo wake Joseph Mayanja ( Jose Chamilion) na walifanya kazi sana kwenye band ya Jose Chamilion baadae ndyo wakajitenga na kuanza kufanya muziki kivyao,hata hivyo bado Jose Chamilion alikuwa akiwatumia kwenye shows zake hasa za ndani ya Uganda

Binafsi pia nimekumbuka mbali sana enzi hizo nikiwa na Mshikaji wangu mmoja mweusi tiiiiiiiii! Kama kia2 cha jeshi halafu amepanda hewani,sasa mshikaji alikuwa akiniona anaanza kunitafsiria nyimbo za Kiganda kama vile Befula ya Chamilion na Bread n' butter ya Radio na Weasal
Pia,alikuwa akinitajia wasanii wengi wa Uganda kama vile Bebe cool,Michael Rose,Chamilion n.k.ndyo ktk kpnd hicho nilipoanza kuzpenda nyimbo za Waganda na hata beats zao huwa ziki tight sana,sikiliza nyimbo kama Ugwe wange wa Juliana Kanyomozi,Ujuwe wa David Lutalo, Margarita (jina la mwimbaji limenitoka)
 
Ndo huyu alikuwa na mwezake radio&weasel wakaimba nyimbo ya mr.ability
Acha ufala wewe

Soma kwanza posts ulizozikuta sio unakurupuka tu kama umebanwa na uharo.

Ndio huyo huyo akiitwa Moses Sekibooga aka Radio
 
MWANAMZIKI maarufu kwa jina la Mose -Radio wa nchini Uganda amefariki Leo 01/02/018
Msani Huyu ambae alikuwa kushirikiana na ndugu yake Jose chamilione maarufu km Wisel, ameaga dunia
Hakika tutamkumbuka.
 
Yani nimeumia mpaka..Leo siku nzima nyimbo zake zinajirudia kichwani!Nilikua namkubali sana na sauti yake.Mungu ampumzishe mahali pema Radio.
 
MWANAMZIKI maarufu kwa jina la Mose -Radio wa nchini Uganda amefariki Leo 01/02/018
Msani Huyu ambae alikuwa kushirikiana na ndugu yake Jose chamilione maarufu km Wisel, ameaga dunia
Hakika tutamkumbuka.
 
Am sorry for the next video..halihalisi ndivyo mowzey alivyouwawa
 
So sad inauma kuangaliaaaaa mtanisamehee waganda wengine wamegeuka nyokookabisa siamini huyu mbwa baunsa hapatikani....

R..I.P MOWZEY RADIO..
33 YRS TOO EARLY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…