TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Kifo cha kujitakia ni Suicide mission tu...acha siasa!!...Kama binadamu kutofautiana ni kawaida na unaongea kuwa amejitakia vip?kwa hiyo alijua kwa ugomvia huo atapata alichojitakia(kifo)....!!shits harpenz evrwhre dude.....!
 
Kifo cha kujitakia ni Suicide mission tu...acha siasa!!...Kama binadamu kutofautiana ni kawaida na unaongea kuwa amejitakia vip?kwa hiyo alijua kwa ugomvia huo atapata alichojitakia(kifo)....!!shits harpenz evrwhre dude.....!
Hakustahil kupigwa hivyo
 
Alafu kapigwa na baunsa watu wanamlalamikia baunsa bila kujua tatizo kaanzisha yeye, tunalaumu matokeo bila kuangalia chanzo. Yeye kama msanii mkubwa alitakiwa awe mfano ktk kusolve mambo kistaarabu. Alale mahali panapostahili
Wewe nawe ni mgeni wa Club na sehemu kama hizo, hayo maeneo watu hawanywi chai ni divai zilizochachushwa tu. Hao mabaunsa wapo hapo ili kuhakikisha ile mivinyo haileti madhara na madhira kwa aliyeutumia na jirani zake. Wapo kwa minajili ya wateja wao.
 
Hata ivo waganda hawanaga akili timamu wanaona mtu anapigwa vibaya wao wamekazana na smart phone zao they are hopeless ndo maana yanatawaliwa na Mtu mmoja miaka yote yapo yametulia kama ma kondoo tu stupid
Ref.. scorpion mtoboa macho mlienda okoa...??
 
Wangapi wanaenda club wanakunywa wanalewa na wanaondoka kimya kimya? Ulisikia kuwa ashawahi kumletea vurugu Bebecool? Kutupa laptop ya dj club? Ina maana hiyo club anaingia mwenyewe mbona wengine wanakunywa na hawaleti hayo anayoleta?
 



I feel you, lakini point yangu itabaki palepale Radio ni vocalist mkali kuliko Chameleon. Pesa zao na reputation mi havinihusu.

Ukija kwa Barnaba na Diamond mi sikubaliani na wewe. Wakati Barnaba yuko busy kubana pua, Diamond anaweza kuimba in different styles and voices. Wakati tungo za Barnaba ni za kuungaunga na hata hits 10 hana, Diamond kila siku anatoa wimbo na mashairi yako sawa .
 
Kuna ile ngoma inaitwa Pollination feat.Obsession naikubali adi kesho
R.I.P Bro!
 


NIIVYONAJANA MASOJA WANAFANYA USAFI HIO YUMBA HUKU BIBIYAKE NA MJOMBA WAKILIA SANA NKAJUA MPWA LAZIMA ANALALA HII KIWANJA..Sad oooO rip
 
Hii video ni ya kweli kama umekaa Uganda utajua masharo wa Uganda wanavo tamka maneno ya kiingereza
 
Kutokana na habari kwamba alipasuka fuvu(angalia anavyobamizea kwenye hicho kitu kama meza) na kuvunjika shingo(alivyotupwa chini) nadhani ni hiyo.
Kachanganyikiwa NA kile kingereza mkuu...hapo ndipo nawaasa lipeni hata temp pass mkatembee eac jamani unaweza kuadvance kaenglish chako kidogoo....

Ov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…