Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo cha kujitakia ni Suicide mission tu...acha siasa!!...Kama binadamu kutofautiana ni kawaida na unaongea kuwa amejitakia vip?kwa hiyo alijua kwa ugomvia huo atapata alichojitakia(kifo)....!!shits harpenz evrwhre dude.....!What are you smoking!?!?
Umeelewa nilicho maanisha hapo au umekurupuka kunijibu!
Huyo artist kajitakia kifo mwenyewe na video inaonyesha yeye ndio alie mprovoke huyo mlinzi.
Jamaa alikua intoxicated badala ya kutulia akataka kujifanya mwamba watu wakamvunja shingo.
Sasa kama hukuelewa nilimaanisha kwa waliobaki hili tukio liwe kama elimu kwao...
Wafanye starehe, walewe wakimaliza wasianzishe ugomvi otherwise tutaishia kuzika wengi.
Inahuzunisha kapoteza maisha but kiuhalisia alikikaribisha kifo.
Kutokana na habari kwamba alipasuka fuvu(angalia anavyobamizea kwenye hicho kitu kama meza) na kuvunjika shingo(alivyotupwa chini) nadhani ni hiyo.Mbona video kama sio yenyewe
Hakustahil kupigwa hivyoKifo cha kujitakia ni Suicide mission tu...acha siasa!!...Kama binadamu kutofautiana ni kawaida na unaongea kuwa amejitakia vip?kwa hiyo alijua kwa ugomvia huo atapata alichojitakia(kifo)....!!shits harpenz evrwhre dude.....!
Wewe nawe ni mgeni wa Club na sehemu kama hizo, hayo maeneo watu hawanywi chai ni divai zilizochachushwa tu. Hao mabaunsa wapo hapo ili kuhakikisha ile mivinyo haileti madhara na madhira kwa aliyeutumia na jirani zake. Wapo kwa minajili ya wateja wao.Alafu kapigwa na baunsa watu wanamlalamikia baunsa bila kujua tatizo kaanzisha yeye, tunalaumu matokeo bila kuangalia chanzo. Yeye kama msanii mkubwa alitakiwa awe mfano ktk kusolve mambo kistaarabu. Alale mahali panapostahili
Ref.. scorpion mtoboa macho mlienda okoa...??Hata ivo waganda hawanaga akili timamu wanaona mtu anapigwa vibaya wao wamekazana na smart phone zao they are hopeless ndo maana yanatawaliwa na Mtu mmoja miaka yote yapo yametulia kama ma kondoo tu stupid
Mabaunsa hawanaga akili hawa!Hakustahil kupigwa hivyo
Wangapi wanaenda club wanakunywa wanalewa na wanaondoka kimya kimya? Ulisikia kuwa ashawahi kumletea vurugu Bebecool? Kutupa laptop ya dj club? Ina maana hiyo club anaingia mwenyewe mbona wengine wanakunywa na hawaleti hayo anayoleta?Wewe nawe ni mgeni wa Club na sehemu kama hizo, hayo maeneo watu hawanywi chai ni divai zilizochachushwa tu. Hao mabaunsa wapo hapo ili kuhakikisha ile mivinyo haileti madhara na madhira kwa aliyeutumia na jirani zake. Wapo kwa minajili ya wateja wao.
Mziki ni zaidi ya sauti mkuu kma ingekuwa sauti ndio kila kitu leo hii barnaba angekuwa anamzidi mkwanja diamond
Chameleon anaweza kuwa hana sauti sana kma weasel ila ni mbunifu ndio maana mpaka leo hakuna wa kumvua ufalme wa mziki uganda.... I repeat mpaka leo hakuna watakuja kina kenzo watapita ila chameleon ni legend kule uganda
Inawezekana maana sio kwa accent hiyo ila labda ina simulate hali ilivyokuwa kwa namna yoyote lazima tukio linafanana na videoMbona hao wanaongea kama wamareka bana
there will be a vigil today at his Neverland home in Makindye and the requiem service will be held tomorrow at a yet to be known church.
Moze Radio's body will be at National Theatre on Friday and on Saturday, the talented singer will be laid to rest at Kagga in Nakawuka where he was constructing a home for his mom.
Tatizooo wananganganaa NA tandikaaaa tokeni hats boda namanga mwone wakenya wanavyoishi...Hii video ni ya kweli kama umekaa Uganda utajua masharo wa Uganda wanavo tamka maneno ya kiingereza
Kweli kabisa mkuuTatizooo wananganganaa NA tandikaaaa tokeni hats boda namanga mwone wakenya wanavyoishi...
Kachanganyikiwa NA kile kingereza mkuu...hapo ndipo nawaasa lipeni hata temp pass mkatembee eac jamani unaweza kuadvance kaenglish chako kidogoo....Kutokana na habari kwamba alipasuka fuvu(angalia anavyobamizea kwenye hicho kitu kama meza) na kuvunjika shingo(alivyotupwa chini) nadhani ni hiyo.
Temp pass 10" 000 tu...mtoe matongotongo kidogo..Kweli kabisa mkuu