Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

Update:---

Mmoja wa wanandugu wa Mohammed Abdallah "Kinyambe" amethibitisha kuwa msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa huko nyumbani kwao mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…