Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
RIP KINYAMBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sikuwa kumpenda uigizaji wake. SIPENDI WASANINI WANAOCHEKESHA KWA KUGEUZA SURA N.K. Bora hata lafudhi na swaga za aina nyengine kama za kitale na masele lakini hizi za kubinjua sura sizipendi...hata kingwendu nampenda maneno yake tu na sio ile dezain ya sura ambayo muda mwengine huiweka.Ila Mimi kiukweli sikuwa shabiki wake sababu nilikuwa sivutiwi na alivokuwa anaigiza.
anyway, RIP kinyambe.
nani kakuuliza??? acha mashauzi wewe!Ila Mimi kiukweli sikuwa shabiki wake sababu nilikuwa sivutiwi na alivokuwa anaigiza.
anyway, RIP kinyambe.
Basi sawa.nani kakuuliza??? acha mashauzi wewe!
afu wewe ni jane lowassa yupi?ni yule ninayyemfahamu au hii ni nickname tu?Okay
ni siku zao tu zinakuwa zimefika. kila mtu ataondoka siku ikifikadah nilikua napenda style yake ya uigizaji. nimesikitika sana. ule mzimu unaomaliza wasanii naona umerudi. R.I.P Kinyambe
Tanzia: Mchekeshaji Maarufu Bongo Afariki Dunia..dah nilikua napenda style yake ya uigizaji. nimesikitika sana. ule mzimu unaomaliza wasanii naona umerudi. R.I.P Kinyambe
