Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

Ila Mimi kiukweli sikuwa shabiki wake sababu nilikuwa sivutiwi na alivokuwa anaigiza.
anyway, RIP kinyambe.
Hata mimi sikuwa kumpenda uigizaji wake. SIPENDI WASANINI WANAOCHEKESHA KWA KUGEUZA SURA N.K. Bora hata lafudhi na swaga za aina nyengine kama za kitale na masele lakini hizi za kubinjua sura sizipendi...hata kingwendu nampenda maneno yake tu na sio ile dezain ya sura ambayo muda mwengine huiweka.
 
Mimi nilikuwa shabiki wake namba 1 kwa kweli, penda sana kazi zake mimi!!
 
dah nilikua napenda style yake ya uigizaji. nimesikitika sana. ule mzimu unaomaliza wasanii naona umerudi. R.I.P Kinyambe
 
Duh!, naangaliaga sana vichekesho vyake. Anyway RIP Bro!, sometimes huwa nacheka kutokana na vituko vyake; njia yetu ni moja.
 
dah nilikua napenda style yake ya uigizaji. nimesikitika sana. ule mzimu unaomaliza wasanii naona umerudi. R.I.P Kinyambe
Tanzia: Mchekeshaji Maarufu Bongo Afariki Dunia..




Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya. Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia Saluti5 kuwa msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
R.I.P KINYAMBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…