Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Nimekaa na YP mara kibao na ingawaje sikuwahi kuhisi kwamba anaugua kifua lakini sasa ndo unanifungua macho... ni kweli alikuwa na dalili zote za mtu mwenye matatizo ya chest.
Sio DOPE!
 
Kwa hiyo na yeye ataagwa leaders club? KIKwete kuna msiba jiandae kuhudhuria!
 
Last edited by a moderator:
Pombe+bange÷dhambi=Umauti

Ujumbe ulioutuma ni mzuri na ni fundisho kwa tuliobaki hai, hata kama sio sababu ya umauti wake ila wanaopenda vitu hivyo nadhani watajitokeza kujitetea. Asante.
 
Habari ambazo bado hazijathibitishwa, ni kwamba msanii aliyeunda kundi la T.M.K WANAUME FAMILY amefariki dunia. Sababu za kifo chake hazijajulikana bado. Nikipata taarifa zaidi nitaendelea kuwajuza. APEPE.

yeah nimeambiwa na jamaa yangu wa tmk kuwa ni kweli sembe litawamaliza vijana wa bongo
 
huyu dogo amelindwa sana na Mungu alitakiwa unga umsepeshe kabla ya ngwer
 

Attachments

  • 1413880699351.jpg
    57.2 KB · Views: 495
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…