Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,555
- 3,208
Ndiyo YP ila kama umeanza fatilia muziki kipindi hiki cha akina Diamond na akina Stamina huwezi kimfahamu!!
Hakika mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo YP ila kama umeanza fatilia muziki kipindi hiki cha akina Diamond na akina Stamina huwezi kimfahamu!!
Sio DOPE!Nimekaa na YP mara kibao na ingawaje sikuwahi kuhisi kwamba anaugua kifua lakini sasa ndo unanifungua macho... ni kweli alikuwa na dalili zote za mtu mwenye matatizo ya chest.
R.I.P yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
Pombe+bange÷dhambi=Umauti
Pombe+bange÷dhambi=Umauti
picha tafakari
R.I.P yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
usihukumu kabla hujahukumiwa wewe.Pombe+bange÷dhambi=Umauti
Habari ambazo bado hazijathibitishwa, ni kwamba msanii aliyeunda kundi la T.M.K WANAUME FAMILY amefariki dunia. Sababu za kifo chake hazijajulikana bado. Nikipata taarifa zaidi nitaendelea kuwajuza. APEPE.
Pombe+bange÷dhambi=Umauti
Ndiyo YP ila kama umeanza fatilia muziki kipindi hiki cha akina Diamond na akina Stamina huwezi kimfahamu!!