Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Taarifa gani tena ushaambiwa kafariki end of his storyinasemekana akiugua kifua kikuu kwa mda mrefuu...tusubiri wenye taharifa zaidi.
Usimcheke mamba kabla hujavuka mto na kabla hujafa hujaumbika, usije ukasema ukamaliza dada yangu, hata hivyo kila nafsi itauonja umauti, hakuna ajuaye hatma yake ni suala la kumuomba tu Mungu, si la kuongea ukamaliza.
mmhhhhhhh ?!!!
Nashangaa mwambie binamu alete ubuyu
halafu naskia kuna miss tz party two jumamosi
Apumzike anapostahili.
If so.., sema tetesi.., until proven..
acha wafu wazike wafu wao
usihukumu kabla hujahukumiwa wewe.