Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Usimcheke mamba kabla hujavuka mto na kabla hujafa hujaumbika, usije ukasema ukamaliza dada yangu, hata hivyo kila nafsi itauonja umauti, hakuna ajuaye hatma yake ni suala la kumuomba tu Mungu, si la kuongea ukamaliza.

Umeandika kuwa kila nafsi itaonja mauti. Je ulisha sikia kuwa siku ya mwisho kuwa walio hai wengine watanyakulikwa wakiwa hai?

"Kristo Yesu atakayewahukumu walio hai na waliokufa, kwa kufunuliwa kwake na kwa ufalme wake ….. taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile" (2Tim. 4:1;8). Toka hapa fahamu kuwa sio wote wataonja mauti.

Pia imeandikwa, Warumi 6:23 "Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu."

Watenda dhambi wanakufa kimwili na kiroho. Waliookoka wanakuwa hai kiroho, ufalme wa Mungu unakuja kwa watu wake hapa duniani kama ilivyo Mbinguni (kumbuka sala ya Baba Yetu uliye Mbinguni).
 
...." hapa niko chee mizunguko yangu nimefanya empty".......hapa alikua ana ingia kuchana kwenye ngoma ya tmk "kichwa kinauma"

R.i.p YP.
 
Nashangaa mwambie binamu alete ubuyu
halafu naskia kuna miss tz party two jumamosi

Umezipata wapi hizo habari best???au ndio lundenga kasema hayo kwenye press conference???na je watashindanishwa wote 30 au baadhi???
 
Apumzike anapostahili.



YP.jpg

kauli ngumu sana hii aisee!!
 
R.I.P YP..naikumbuka ngoma kali alifanya na j.nture&jebby&_hatufanani.alikuwa anaweza sema kaishia alipofikia.jina la Bwana lihimidiwe..
 
ni kweli yp hayupo tena duniani.alikuwa anasumbuliwa na kifua.mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
mda cmrefu kutakuwa na hukumu ya wazambi maratu mwanawa Adam kurudi mrudieni mungu duniani tunapita
 
Back
Top Bottom