Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Taarifa zilizotufikia usiku wa kuamkia leo zinaeleza kuwa Mtangazaji aitwaye Denis Rupia maarufu kama Chogo amefariki dunia.
Taarifa hizi zimetolewa na Meneja Mkuu wa EFM, Denis Ssebo jukwaani usiku wa kuamkia leo wakati wa Tamasha la Muziki Mnene lililokuwa linafanyika Mubashara kutoka jijini Dar es Salaam.
Baada ya taarifa hiyo, ilipelekea matangazo hayo ya moja kwa moja kukatishwa.