TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

677e5675ae5c552bbab30d79de614cde.jpg
 
Hawa EFM wana nini mana juzi tu Bikira wa Kisukuma chali leo Chogo au ndio msimu wa sadaka wa hawa wajenzi huru?
Mana hata hiyo CEO wao utajiri wake wa ghafla unejawa namashaka kwa Critical thinkers.
Endelea kucritical think utajiri wa wanaume wenzenu badala ya kupambana na hali zenu... mtcheeeeeew kama ni rahisi mkatoe sadaka na nyie basi...
 
Bongo ukifanikiwa kuna mawili, unauza dawa za kulevya au ni mshirikina.
Pumbavu kabisa... mijitu ni enemies of progress, no wonder ukiwa juu ukitereza washangiliaji ni wengi.
Watu wanafariki na magonjwa yao kazi kusingizia watu as if wanakuwepo sasa kwenye hizo kapata.. .. mtcheeeeew ukute jitu hata ndugu zake tu limeshindwa kuajiri
 
Rip jamaa.Mungu akupokee hakuna kingine cha kusema!
 
Lakini.........!!!!
Huu mchezo wa vifo vya "ghafla”!!!!!!!
1. Seth
2. Chogo
3. ................
4. .................
.
.
.
RIP vijana
 
Back
Top Bottom