TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

R.I.P we are on the same road
 
Pole sana wana familia ya E FM na TVE kwa pigo lingine...
Nilikuwa sijamsikia radio kama miezi miwili kama sio mitatu na ni nwazi alikuwa anaumwa kwa muda mrefu.
Huyu jamaa ni mmoja ya watangazaji walio kuwa wataalam wa majingle..na mchekeshaji mzuri sana...
Msife moyo kwani Mungu hatuwezi kumpangia pakuvuna wala muda wa kuvuna...yeye ndiye anajua lakini tunacho omba ni awape faraja tuu maana yeye ndiye ana panda na ndiye mvunanaji..
Hakika ni lazima kila mtu atakufa hata akiwa wapi....lakini inauma sana vijana wadogo wakiwa wana ondoka mapema sana....bila shaka huyu chogo alikuwa ana miaka 34 duu na kwa hali ya tanzania sidhani kama alishatimiza ndoto zake....

Vijana wana zikwa na wazee,,,,aiseeee ina sikitisha sana tena sana...
 
...r.i.p Chogo De.
..nalipendaga kinyama lile tangazo la Lake Oil aliloact kama Kindoba!
.gone too soon!
 
Hawa EFM wana nini mana juzi tu Bikira wa Kisukuma chali leo Chogo au ndio msimu wa sadaka wa hawa wajenzi huru?
Mana hata hiyo CEO wao utajiri wake wa ghafla unejawa namashaka kwa Critical thinkers.
 
Mmmmmh kafara za EFM hatari sana, bikira wa kisukuma wa kisukuma alikua anafungulia
 
Back
Top Bottom