TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

Lakini.........!!!!
Huu mchezo wa vifo vya "ghafla”!!!!!!!
1. Seth
2. Chogo
3. ................
4. .................
.
.
.
RIP vijana
Naona watu wameshaanza kumuhisi lulu dah wabongo noma
 
Uyu dogo ni mdogo wake wa kuzaliwa na seki yule komedian na akina joti na mpoki,,rip
Ni kweli, nadhani wengi hawafahamu hili... Hapo kale tuliwafahamu kwa jina la ukoo la "Ndeketela"
 
Dah namkubali sana chogo huwasikosagi kusikiliza fimbo zake saa tatu kasoro asubui jamaa alikua mbunifu sana.RIP
 
Mkuu umejiuliza ni kwanini hao Watangazaji wa efm wanafariki? Ama umejiuliza idadi ya wanaofariki hapo efm kulinganisha na wapi? Natanguliza samahani!
 
Habari wanabodi.

Napata habari kuwa mtangazaji wa EFM aliyejulikana kwa jina la Denis Davis Rupia ameaga dunia.

Ikumbukwe pia mwaka huu huu EFM walipata msiba wa Seth ambaye alijulikana kwa jina maarufu la Bikira wa Kisukuma.

May their souls reat in eternal peace

00b1669ae7cd58a32141d1c8c47a4ad2.jpg
 
Back
Top Bottom