TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

TANZIA: Mtangazaji wa E-Fm na Tv-E Dennis Rupia ‘Chogo’ amefariki dunia

Duh

...

Ulikua jela nini!?

Hii ni old news tayari.
 
Hawa EFM wana nini mana juzi tu Bikira wa Kisukuma chali leo Chogo au ndio msimu wa sadaka wa hawa wajenzi huru?
Mana hata hiyo CEO wao utajiri wake wa ghafla unejawa namashaka kwa Critical thinkers.
Acha roho za kichawi Israel ndio mtoa roho na sio binadamu
 
Lakini.........!!!!
Huu mchezo wa vifo vya "ghafla”!!!!!!!
1. Seth
2. Chogo
3. ................
4. .................
.
.
.
RIP vijana
Kuugua miezi 3 sio ghafla jamaa figona ini zikifeli
 
Back
Top Bottom