TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Samahani wakuu naweza pata taarifa fupi juu ya huyo dogo, alikuwa kama nani?? maana kila mtu yuko analalamika kuhusu kifo cha huyo dogo..

Dogo alikua mkuu wa polisi mdogo kanda ya magharibi
 
Hata kama tunawapenda watoto wetu, si sawa kuwarusha na kuwatanzana namna hiyo katika uwanja "wa wakubwa kama huko Instagram"

Mtoto alilazimishwa kuvaa, kuimba, kuongea, na kuonekana kama mtu mzima!

Je alipata nafasi ipi ya yeye kucheza na watoto wenzake?

Je alipata wapi nafasi ya kuwaza kama watoto wenzake na kuiishi dunia ya utoto wake?

Angekuwa mtu mzima, angesimulia yapi mazuri ya utito wake kama kucheza kombolela na kupigana na wenzake katika michezo?

Mtoto anavalishwa kama mdoli, gangastar, mtanashati, bitozi, micheni, miwani na takataka zoote kama mtu mzima!...je MACHO ya watu wabaya yalikua namna gani kwa malaika huyu "aliyelazimishwa" kuishi kama mtu mzima?

MUNA alikosea sana.
Maneno ya maana sana haya,saikolojia ya kiwango cha juu mno.
 
Usikariri man. Unaweza ukakuta Mungu kamuepusha na mengi ya dunia. ie kula unga, kuwa shoga,kubet mikeka Nk.
Mkuu hapo kubet mikeka uwaombe radhi watu hapa JF,hiyo ni ajira rasmi ya kinababa wengi wa daslam.
 
Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
kwani huyu motto amefanyaje, na maumivu makali jamani
 
mi nashangaa kwa kweli.....kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patric Peter? nimeona video huko YouTube ya siku nyingi tu mtoto katambulishwa kama Patrick Peter.....
Kuna kitu nawaza maybe muna hataki mtoto azikwe na peter na ndo sababu anang'ang'ania kuwa mtoto ni wa casto sababu casto hatakua na mamlaka ya kuamua juu ya mazishi so anafanya hivyo ili asibugudhiwe na baba wa mtoto
au anataka kumkomoa kwa ishu zao za nyuma.

Mana niliona mahojiano ya casto akisema amejua mtoto anaumwa kupitia mitandaoni tofauti na huyu peter ambaye alitoa hela ya matibabu pale agha khan na hela ya ndege kwenda kenya.
Kama mtoto hakua wa huyo baba kwanini alikua anambebesha gharama zote hizo wakati baba mzazi casto yupo na taarifa hakua nazo??
 
Hapana unajua watu walikua na mkanganyiko wa msiba na yeye ndo kila kitu ukute walio nae karibu walimuambie aseme na ukute hajaandika yeye ameandikiwa pia watu walikua waende wapi mwananyamala au mbezi!

Ndo maana ametoa hyo statement IG maana kwa watu maarufu pale ndo kila kitu kwa taarifa
pengine inawezekana ameandikiwa lakini angekaa kimya au mtu tu wa karibu akasema itokee wenye akili ya kufikiri ya haraka kama weee kua hakuandika yeye unaweza kuimagine wangapi watakua wamefikiri hivyo
 
Back
Top Bottom