TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Casto sio baba mzazi wa Patrick
Baba wa Pat anaitwa Peter.
Mume wa awali wa Rose (Muna).
Na ndio maana Casto hakuwa attention na ugonjwa wa 'mwanae'
Screenshot_20180705-065636.jpg
 
Ndio naposhangaa pamoja na maumivu ya kufiwa angekaa kimya akaomboleza anavyojua kutype na para yote hiyo, hakika sisi ni wa Mwenyez Mungu na kwake tutarejea
Full drama asee huu msiba utaenda mahakamani asee....innocent boy ameanza kuteswa tangu yuko hai na sasa maiti bado anateswa....poor parents!!
 
Hapo ukute alikua na kadi mbili za clinic akienda kwa casto inasoma jila lake na same pia kwa peter.
Mi nimepata funzo hapa za mwizi ni arobaini ila kuna zingine huwa zinakuja vibaya na wakati ambao si sahihi. Wakulaumiwa ni Muna na kama walikua hawatoi pesa wana sababu zao mana si kwa kupangwa huku. Sijui hata kama alikumbuka kumwambia ukweli mwanae baba mzazi ni yupi kati ya hao wote.
 
mi nashangaa kwa kweli.....kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patric Peter? nimeona video huko YouTube ya siku nyingi tu mtoto katambulishwa kama Patrick Peter.....
 
Huyu Dada asipojifunza Kwenye Hili basi Tena.

Fundisho : mtu ukiokoka toa ushuhuda Wa ukweli Huyu aliokoka lakini kuna mengi maovu hakuyaweka hadharani nadhani waswahili waliosema Fimbo ya Mungu ndio Hii maana jambo moja baada ya jingine linabumburuka. Mpaka sasa tushajua nyumba anayoishi kapangiwa na muimba gospel mwenzie Uwiiiiii Na ndio kwanza asubuhi.
Hapa ndo wanawake hatuaminiki, mtoto anafanywa mtaji
 
Hapo ukute alikua na kadi mbili za clinic akienda kwa casto inasoma jila lake na same pia kwa peter.
Mi nimepata funzo hapa za mwizi ni arobaini ila kuna zingine huwa zinakuja vibaya na wakati ambao si sahihi. Wakulaumiwa ni Muna na kama walikua hawatoi pesa wana sababu zao mana si kwa kupangwa huku. Sijui hata kama alikumbuka kumwambia ukweli mwanae baba mzazi ni yupi kati ya hao wote.

Ila Castro hajasema popote kutumianhata senti tano kwa mtoto hadi anafariki

Labda anasubiri aonane na mwenzake huyo lijianamuke watunge warushe..
 
Back
Top Bottom