Kuomboleza muomboleze, ila sio kujifanya mmeumia saaaana kisa nimtoto wa star, yaan DP za wasap za wadada toka juzi nipicha ya mtoto, uko IG. FB ,ndo usiseme...wakat huo huo kuna jiran au ndugu alifiwa na mtoto au jamaa ake lkn ukaishia kumpigia simu kumpa pole au hata ukajifanya uko bize .. Watu wapuuzi sana.
Mtoto kafa, kafa, mwacheni apumzike ,sio wakati wakumchoresha ovyooo ovyoooo ,,, mbona alipokua mzima mlikua hamumpost namna hiii??? Hii ni akili au matope yakufugia minyooo??.
Watu wapuuzi sana, kumbe siku mnakua napicha za watu miaka nenda miaak rudi bila kuwajulia hali, wakishakufa ndo muanze kuwapost???? Nakujifanya mnawajua sana?? ....