TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

True wanawake wengi sana huwaaribu watoto wao kwa kuwatupia lawama za baba za watoto ili waonekane mababa ni wabaya wakati chanzo kikuu huwa kina mama,kiwafanyacho kina baba kukwepa gubu au dharau
Wanawake ambao hawajalelewa vizuri kimaadili huwa ni matatizo, Pale anapoanza kupata exposure na hali yake ya uchumi kutengamaa huwa wanaanza dharau katika ndoa zao. Sasa wanaume wengi huwa hawapendi wanawake waobadilika ghafla.
 
Just asking lakini.... Hivi pamoja na umaarufu wote wa mama yake pamoja na shughuli afanyavyo hivi ilishindikana vipi kukatiwa bima ya Afya ya toto kadi?

Pumzika salama mtoto
 
Hivi kwani kuna kipi cha ajabu apa, Daah
 
Wengi wanadahani kwamba yule marehemu mtoto alikuwa wako na wewe pia ukajifanya ni wako
ukweli nikwamba ni wa mume wa ndoa wa Muna,wewe kipindi kile ulifata visenti vyake vya kuuza unga
mpira umerudi golini sasa,usijikaze sema tu ukweli yule marehemu siyo mwanao.
Mkuu...
Yaani kwa maneno haya nimejikuta ninatamani kujua jinsia yako tafadhali....maana Duhhh
Samahani laki
 
Nasikia anatakiwa kuzaa mwingine ili watemi wamtwae maana bado ana deni kubwa tu la sadaka. Akishindwa wanamtwaa yeye. Sasa kwa wale mabazaz watakaokubali kijacho kiwe sadaka basi kazi kwao maana "menyu njenje" Hawezi kukubali wamtwae!
 
Mmmh we una kitu unakijua hebu tumegee kidogo
 
Pole Sana Muna Luv kwa Kumpoteza Mtoto.
--Ila Muna amepitia changamoto nyingi sana na Marehemu mwanawe.....Huyo Dogo alikuwa anaijua dini sana na akaokoka.
-Ugonjwa wa figo kwa mtoto mdogo,chanzo ni nini?
NAMM NNA SWALI KAMA HILI,,KUNA KITU KINAFICHIKA HAPA
 
Duh!...Rest in Peace Angel!...tukumbuke watoto wetu nao wana haki zao, tusilazimishe nao kuingia katika ulimwengu wetu wa ki "super star" kabla.majira yao hayajafika!

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Nasikia anatakiwa kuzaa mwingine ili watemi wamtwae maana bado ana deni kubwa tu la sadaka. Akishindwa wanamtwaa yeye. Sasa kwa wale mabazaz watakaokubali kijacho kiwe sadaka basi kazi kwao maana "menyu njenje" Hawezi kukubali wamtwae!
Mhh
 
Mtafungwa kwa uongo, sipendi kuona jinsia ya kiume inatunga vitu vya uongo
 
Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Mkuu mbona wanasema huyo mapensi sio dingi...

!!??!!?
 
Mkuu...
Yaani kwa maneno haya nimejikuta ninatamani kujua jinsia yako tafadhali....maana Duhhh
Samahani laki
Nzagambadume = kwa lugha ya huku kwetu usukumani, NZAGAMBA ni ng'ombe dume, kwa hiyo huyo ni "ng'ombe dume, dume
 
Back
Top Bottom