The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Wanawake ambao hawajalelewa vizuri kimaadili huwa ni matatizo, Pale anapoanza kupata exposure na hali yake ya uchumi kutengamaa huwa wanaanza dharau katika ndoa zao. Sasa wanaume wengi huwa hawapendi wanawake waobadilika ghafla.True wanawake wengi sana huwaaribu watoto wao kwa kuwatupia lawama za baba za watoto ili waonekane mababa ni wabaya wakati chanzo kikuu huwa kina mama,kiwafanyacho kina baba kukwepa gubu au dharau