TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Hivi mtu unapata uthubutu upi wa kumnyooshea kidole binadamu mwenzako tena kipindi cha msiba[emoji15]

Hii tabia ya watanzania kuingilia maisha ya watu inazidi kuota mizizi. Njia pekee ya watu kuacha hii tabia ni maisha yazidi kukazwa nati. Kupata mlo iwe shida mbona akili zitatukaa sawa.
Mimi nimepigwa na butwaa haki tena, watu wako busy kumnanga dada wa watu, kumsimanga na kumtafutia marehemu baba jamani.... Hebu walau tumwogope Mungu na kukumbuka kuwa dunia ni njia wote tu safarini. Zaidi sana hakuna mkamilifu
 
Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
8. Tuwasamehe Bure vioo vya jamii
 
Kuomboleza muomboleze, ila sio kujifanya mmeumia saaaana kisa nimtoto wa star, yaan DP za wasap za wadada toka juzi nipicha ya mtoto, uko IG. FB ,ndo usiseme...wakat huo huo kuna jiran au ndugu alifiwa na mtoto au jamaa ake lkn ukaishia kumpigia simu kumpa pole au hata ukajifanya uko bize .. Watu wapuuzi sana.

Mtoto kafa, kafa, mwacheni apumzike ,sio wakati wakumchoresha ovyooo ovyoooo ,,, mbona alipokua mzima mlikua hamumpost namna hiii??? Hii ni akili au matope yakufugia minyooo??.

Watu wapuuzi sana, kumbe siku mnakua napicha za watu miaka nenda miaak rudi bila kuwajulia hali, wakishakufa ndo muanze kuwapost???? Nakujifanya mnawajua sana?? ....
Namjulia wapi mie mpk nimpost? Page yenyewe ya instagram sina. Nimesiitika tuu mtt kufariki na huumia kifo cha mtt yoyote yule awe wa staa au huku mtaani. So dont Qoute me wrong bro
 
Namjulia wapi mie mpk nimpost? Page yenyewe ya instagram sina. Nimesiitika tuu mtt kufariki na huumia kifo cha mtt yoyote yule awe wa staa au huku mtaani. So dont Qoute me wrong bro
Sawa basi niliamin naww nimoja ya abiria walopo ndani ya behewa la ujinga upuuzi na unafiki usokua na maana.

Fres fresh , nmekupata.
 
Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kwa ndugu Peter Zacharia Komu ambapo ndipo msiba huo ulipo. Ndugu Peter amefunguka mengi na kusema Muna ni mkewe wa ndoa na walimzaa Patrick wakiwa ndani ya ndoa. Amesema amekuwa akimhudumia mtoto huyo kuanzia matibabu yote, matunzo na ada ya shule na kueleza kuwa Casto si baba wa mtoto huyo kama watu wanavyopotoshwa. Dada wa Muna naye amefunguka na kubainisha kuwa familia inafahamu mtoto huyo ni wa Peter na siyo Casto.
Clouds naona wapo mbezi Kwa Muna huu msiba utazua mengi Sana.
 
Hivi nyie mnamwana mama yake zinamtosha kichwani na ulokole wake feki?
Huyu Dada asipojifunza Kwenye Hili basi Tena.

Fundisho : mtu ukiokoka toa ushuhuda Wa ukweli Huyu aliokoka lakini kuna mengi maovu hakuyaweka hadharani nadhani waswahili waliosema Fimbo ya Mungu ndio Hii maana jambo moja baada ya jingine linabumburuka. Mpaka sasa tushajua nyumba anayoishi kapangiwa na muimba gospel mwenzie Uwiiiiii Na ndio kwanza asubuhi.
 
Inabidi niwaaambie ndugu na marafiki mapema kama vipi waanze kunipost sasa hivi mambo ya unafiki wa kunipost nikifa sio mchongo..

Na rambirambi kama vipi wanipe nikiumwa ili nizitafune mwenyewe.
Sio mtu hujampa hata buku ya panadol halafu unatoa rambirambi ya laki .
Hii ni akili au matope..

Tujifunze kuthamini mtu akiwa hai
 
Watanganyika ni wa kuwasamehe bure tu saa nyingine.

Na kama hujui ni kwa nini Wstanganyika ni maskini basi hizi ndio sababu halisi, mtu ambaye analeflect maisha yao hawana habari ila issue za makahaba zinashikiwa bango.

Hivi kitoto kama hichi uanzee kukivalisha kama P Diddy si unakikaribishia mapepo bure tu bila wewe mwenyewe kujuwa?

View attachment 802352
mkuu hawa ndiyo watanzania, wapo busy na yasiyo wahusu.
 
Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Mtoto sio wa castor
 
Mtoto sio wa castor
Screenshot_20180704-223007.png
 
Back
Top Bottom