TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Samahani wakuu naweza pata taarifa fupi juu ya huyo dogo, alikuwa kama nani?? maana kila mtu yuko analalamika kuhusu kifo cha huyo dogo..

Dogo alikua mkuu wa polisi mdogo kanda ya magharibi
 
Maneno ya maana sana haya,saikolojia ya kiwango cha juu mno.
 
Usikariri man. Unaweza ukakuta Mungu kamuepusha na mengi ya dunia. ie kula unga, kuwa shoga,kubet mikeka Nk.
Mkuu hapo kubet mikeka uwaombe radhi watu hapa JF,hiyo ni ajira rasmi ya kinababa wengi wa daslam.
 
kwani huyu motto amefanyaje, na maumivu makali jamani
 
mi nashangaa kwa kweli.....kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patric Peter? nimeona video huko YouTube ya siku nyingi tu mtoto katambulishwa kama Patrick Peter.....
Kuna kitu nawaza maybe muna hataki mtoto azikwe na peter na ndo sababu anang'ang'ania kuwa mtoto ni wa casto sababu casto hatakua na mamlaka ya kuamua juu ya mazishi so anafanya hivyo ili asibugudhiwe na baba wa mtoto
au anataka kumkomoa kwa ishu zao za nyuma.

Mana niliona mahojiano ya casto akisema amejua mtoto anaumwa kupitia mitandaoni tofauti na huyu peter ambaye alitoa hela ya matibabu pale agha khan na hela ya ndege kwenda kenya.
Kama mtoto hakua wa huyo baba kwanini alikua anambebesha gharama zote hizo wakati baba mzazi casto yupo na taarifa hakua nazo??
 
pengine inawezekana ameandikiwa lakini angekaa kimya au mtu tu wa karibu akasema itokee wenye akili ya kufikiri ya haraka kama weee kua hakuandika yeye unaweza kuimagine wangapi watakua wamefikiri hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…