TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Pole Sana Muna Luv kwa Kumpoteza Mtoto.
--Ila Muna amepitia changamoto nyingi sana na Marehemu mwanawe.....Huyo Dogo alikuwa anaijua dini sana na akaokoka.
-Ugonjwa wa figo kwa mtoto mdogo,chanzo ni nini?
Ukija kuangalia kwa makini ni usasa wa mzazi ,makeups zenye sumu alizokuwa anatumia huku ana mtoto mdogo...vyakula alivyokuwa anampatia na vinywaji pia
 
Casto sio baba mzazi wa Patrick
Baba wa Pat anaitwa Peter.
Mume wa awali wa Rose (Muna).
Na ndio maana Casto hakuwa attention na ugonjwa wa 'mwanae'

Umeiba kule insta paaap ukatuletea huku
 
Pumzika kwa Amani Toto. Mungu amtie nguvu Mama yake.
 
Kwani chanzo cha kifo ni nini,tafadhali hii habari ilinipita
 
Umejuaje kama ni malaika?[emoji23] hakuna kila mtoto ni malaika nauliza tuu usinifikirie vibaya maana atakufiwa na mimi nimefiwa sanaa tuu
Ulifiwa kawaida.
Huyu mtoto anamjua mungu na kuabudu kitu ambacho wanao sidhani km waliwahi fanya zaidi ya kugombea mandondo.
 
Dhaaaa r.l.p jembe la casto Dickson
 
Binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha Malaika huyu, hakika Dunia hii ina mengi ya kuhuzunisha. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema Ameen.
Pamoja na yote naomba kutoa mtazamo wangu juu ya yale yanayoendelea huku mtandaoni hasa baada ya kuona kila mmoja akimtupia shutuma na lawama mzazi wa kiume wa mtoto huyu. Nawaomba watanzania tuache kuwa na mihemko kwani jambo hili si la kukurupuka tu na kumtukana mtu bila kutafuta ukweli uliojificha nyuma ya tukio lenyewe.
Tunamshutumua na kumuhukumu Casto Dickson kwakuwa hatujui au kwa makusudi tumeamua kupuuza kilichokuwa kinaendelea kati yake na mzazi mwenzie. Mama wa mtoto alijitahidi sana kumuadhibu mzazi mwenzie kwa kutengeneza 'gape' kati ya baba na mtoto na hilo ni kosa kubwa sana ambalo wanawake hupenda kulifanya kwa wazazi wenzao waliotengana. Casto kama mzazi najua alitamani sana kuwa karibu na mwanae si kipindi hiki tu cha matatizo bali hata kabla ya matatizo lkn nafasi hiyo asingeweza kuipata kwakuwa mzazi mwenzie aliamua kuhamishia visasi vyake vya kimapenzi kwa mtoto na baba na kuitumia kama adhabu jambo ambalo ni kosa kubwa kwani alimnyima mtoto haki ya kupata malezi ya wazazi wake wote wawili na akamnyima baba haki ya kumlea na kumuonesha upendo wa mzazi mwanae. Issue ya yeye kuwa na mahusiano mengine ni jambo binafsi na haki yake maana alikuwa ameshaachana na mwenzie hivyo haihusiani wala haiathiri hata kidogo makuzi na malezi ya mtoto. Naomba nitoe Rai kwa wanawake wengine wote tafadhali msiwatumie watoto kama silaha ya kuwaadhibu wenzi wenu mlioachana nao kwani mnakuwa hamuwaadhibu wenzi tu bali pia watoto ambao hawana hatia. Pole sana ndugu yangu Casto Dickson na mama wa mtoto kwa kumpoteza mtoto ambaye kama wazazi najua mlikuwa na matarajio mengi na makubwa juu yake, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Mimi kama mwanaume nnayefahamu misukosuko inayotokea pindi wenza wanapoachana kamwe sitathubutu kufungua mdomo wangu kumshambulia yeyote kati yao.
Rest In Peace Malaika wa Mungu, mbele wewe nyuma sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…