shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
Ulweso nimekumissMakubwa haya sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulweso nimekumissMakubwa haya sasa!
DuuuuhHuyo casto si wanadai ana ngoma!!..hebu weka picha ya muna..cjapga kweli!!!?
Renal failure can be complication of any severe illnessPole Sana Muna Luv kwa Kumpoteza Mtoto.
--Ila Muna amepitia changamoto nyingi sana na Marehemu mwanawe.....Huyo Dogo alikuwa anaijua dini sana na akaokoka.
-Ugonjwa wa figo kwa mtoto mdogo,chanzo ni nini?
Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo watanzania wamekua busy kupost picha za mtoto huyu kwenye mitandao na kuonesha majonzi makubwa ili hali ndugu zao/marafiki wa karibu wanapougua au kupoteza maisha hua hawapost au kuumia kiasi hichi!
Huu sio ulimbukeni?
Pole kwa wafiwa na Mungu awatie nguvu
hakika ni fundisho toshaFundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Hahaaaaaaa hivo vinanipwayaVua vaa vya rachel miwaya
Yeah nimeamua kuweka picha hii kuthibitisha...niliona comment yako kule...ulikuwa na mashaka
umemaliza kila kitu ""Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Duh!...Rest in Peace Angel!...tukumbuke watoto wetu nao wana haki zao, tusilazimishe nao kuingia katika ulimwengu wetu wa ki "super star" kabla.majira yao hayajafika!
ha hahaaaTunatoa pole za dhati kabisa kwa familia kwa kuondokewa na Mtoto. Tunaomba wasanii akiwemo Nyenyere asishike tena pesa za rambirambi
Mimi pia nilikua simjui huyu mtoto nikaanza kumfuatilia juzi, ninahakika wewe pia ungemfuatilia hata kidogo na kumjua usingrongea haya maneno yako nahisi alikua na kitu flani special.Natoa pole kwa wafiwa wote.
Lakini kila kitu ni upuuzi mtupu.
Sijaona cha maana au cha msingi cha kufanya kifo cha huyo mtoto kuwa story za kuvuma mitandaoni. Ni ulimbukeni mtupu.
Huyo mtoto ni nani?
Wazazi wake ni wakina nani?
Kuna kitu gani so special kumhusu huyo mtoto au wazazi wake?
Aiseee...."" hahahaha...umetisha mnooo""Wakifa watoto wa ndugu zenu
hampost, wakifa watoto wa wenzenu mnapost ila awe star'. Akifa mtoto wako utampost wewe tu hakuna atakae shuhulika. Sasa ni nin hii?
Kila mtu a play party yake tuache unafiki.
Watu wanajifnya wanajari sana misiba inapotokea kwa mtu hasa akiwa maarufu watapost kila mahari
ila hawa hawa binadamu hawajali unapotokea msiba hata awe ndugu yake atachukulia kawaida tuu.
Ukweli upo hivyo. Sasa achana nahii ya watu 20 ,kuna watu wafamilia moja wapatao 14 walikufa siku moja kwaajali yaan siku moja on the spot palepale watu wa familia moja wapatao 14.. Unaweza pima haya maumivu???
Lkn ilipita kama zilivyopita ajali myingine. Alafu leo Kafa dogo. Kisa ni mtoto wa star basiii si IG mpaka JF,, ni vilio vya kinafiki tu ndo vimepakaa, .....wengine hapo hapo uko Insta ndo wanatumia Fursa hii kupata follower, page zao kutembelewa ili wapate pesaa, wengine humh JF niwafuata mikumbo tuu ,nao wanafake majonzi ili waonekane wanauchungu .
Mamaee zao, wengine hapa ,majuzi ndugu zao wa damu wamekufa, lkn hata kutuambia humu au kumpost uko IG hamnaaa, wengine humu hawajauzulia vifo vya ndugu zao kibao, wakijifanya wapo bize kupita kiasi ..mamaee zao ..
ACHENI KUJITIA UNAFIKI , USOKUA NAMAANA HUKU ROHON MWENU MKIJIJUA.
amekufa, yes amekufa, mwacheni mtoto wawatu apumzike kwa amani sio kuanza kumjadili saizi, .. ***** zenu, Mbona hamkutoa mchango wa dogo kupata matibabu husika??
Upuuzi tu ndo mmejaa, mbona, hamkuchukua jukumu lakwenda kwa mona ,au baba halisi wtoto au baba wakambo nakuwaeleza hali halisi ili wamjengee mtoto mazingira bora??
Mtoto anakufa ndo mnajifanya kutunisha mijicho yenu ,na vilio vya kisenge sengee humu ,muonekane mnahuruma ..pumbavu sana .
Eti kijitu kinakuja kusema * Uzembe wa mona ,ndo umeua mtoto..ohooooo walifanya siri sana, ohoooo baa wakambo hakujali,.ohoooo baba wakambo na mona ndo wamefanya kifo* .. Pumbavuu zenu, peleken huko unafiki wenu. MLIKUA WAPI KWENDA KWA MONA AU BABA WAKAMBO MKAWASHAULI ?? WENDA MNGEKUA SEHEMU YA UHAI WA MTOTO HUYU ?? MLIKUA WATU??
alafu mijitu mingine ,Unafikiiii unafiki tu imewajaa na umbeya wakipuuzi .
Aisee...."" ambacho umekisahau mkuu"" ni kwamba watu wanapenda mnooo Maisha ya maigizo ""...Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo watanzania wamekua busy kupost picha za mtoto huyu kwenye mitandao na kuonesha majonzi makubwa ili hali ndugu zao/marafiki wa karibu wanapougua au kupoteza maisha hua hawapost au kuumia kiasi hichi!
Huu sio ulimbukeni?
Pole kwa wafiwa na Mungu awatie nguvu
hahah hahaaUmejuaje kama ni malaika?[emoji23] hakuna kila mtoto ni malaika nauliza tuu usinifikirie vibaya maana atakufiwa na mimi nimefiwa sanaa tuu