TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Tasnia ya bongongada kundi moja na petii man wakuache na wema sepetu...japo alijiingiza kwenye dini baada ya kuona mambo yako hovyo.. Na mtoto dalili ya kupona ilokua hainokeni
Safi mkuu asante sana...
 
Hata mimi nimejiuliza sana hii kitu
 
R. I. P mtoto wa munalove1. Ila Muna Mungu anakuona.. Ulitaka Casto apate taarifa ya ugonjwa wa mtoto kupitia instagram? Umekata mawasiliano na Casto...ila mashabiki zako wanamtukana sana kijana wa watu.
 
True wanawake wengi sana huwaaribu watoto wao kwa kuwatupia lawama za baba za watoto ili waonekane mababa ni wabaya wakati chanzo kikuu huwa kina mama,kiwafanyacho kina baba kukwepa gubu au dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…