Huyu ndo alikuwa rafiki yake sana na marehemu, anaitwa odama, hadi mimba walibeba wote, yeye sijasikia kuzimia ,naona uwoya kaguswa sana..
Mi simjui rachel zaid ya kwenye tv but i cried wen i heard the news.Kwa sababu kufa kwa uzazi ni ishu nzito sana afu inaumza.Binamu uliadimika
kiki on loading..............
Busy busy kidog binamu, but ntarud soon mazima na vitu hooot
Tunangojea binamu
Busy busy kidog binamu, but ntarud soon mazima na vitu hooot
Tunakumiss sana,umeadimika km miguu ya nyoka!fanya urudi.
Miss u binamu
wewe mgeni hapa mjini.Sasa jamani mnasema anaigiza kuzimia ....mna uhakika gani?
Labda kazimia kwa joto