Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna mama mmoja alifanyiwa opp. pale MOI mpaka sasa yupo hai na alipona. Nilisikia walitumia wataalamu toka nje. Sina uhakika. Huwezi kucheza na ubongo maana ndo kila kitu.Pole sana mungu akuponye urudi kwenye hali yako,yani hiyo opp labda kwa wenzetu huko nje ila moi ni kujitafutia kifo tu wanacheza na miili ya watu.
Huyo mgonjwa bila nairobi angekua kilema wa kubebwa kwenye wheelchair
serious mzee,mimi nakumbuka wakati marehemu mama anatutoka 1997,siku hiyo akiwa hospital alipelekewa viazi ya kupika vimeungwa nyanya,vilipelekwa alionja tu akaaga dunia,vikafunikwa tukaja kupewa watoto wake wakati msiba unarudishwa home.
huwezi amini mpaka leo hii nikionja viazi vilivyoungwa huwa inajijia ile image ya siku ile miaka 22 iliyopita.
Ila kuna mama mmoja alifanyiwa opp. pale MOI mpaka sasa yupo hai na alipona. Nilisikia walitumia wataalamu toka nje. Sina uhakika. Huwezi kucheza na ubongo maana ndo kila kitu.