serious mzee,mimi nakumbuka wakati marehemu mama anatutoka 1997,siku hiyo akiwa hospital alipelekewa viazi ya kupika vimeungwa nyanya,vilipelekwa alionja tu akaaga dunia,vikafunikwa tukaja kupewa watoto wake wakati msiba unarudishwa home.
huwezi amini mpaka leo hii nikionja viazi vilivyoungwa huwa inajijia ile image ya siku ile miaka 22 iliyopita.