TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Hili la kutoachiwa wajukuu nadhan linaumiza zaid,labda wangekuwepo angefarijika japo kidogo. Bt all in all ni mipango ya Mungu iwe hvyo
Seth kaacha mtoto mmoja
 
Ni mtoto wa Dada au kaka wa Mama Kanumba ila hajamzaa amemlea tu, Mama Kanumba ana watoto 2 tu Kanumba na Dada yake
Mkuu... ebu elezea kidogo ili ueleweke, maana tayari umeongeza taharuki...
 
Pole sana brother

Mimi kuna dogo nilimlea na akafariki hata kabla ya mwaka. Hadi leo kuna mafuta ya nazi sipendi hata kuyaona maana ndio ilikuwa last gift kumnunulia.

Sasa sipatii picha huyo mother ana hali gani kiukweli. Mungu amtie nguvu
serious mzee,mimi nakumbuka wakati marehemu mama anatutoka 1997,siku hiyo akiwa hospital alipelekewa viazi ya kupika vimeungwa nyanya,vilipelekwa alionja tu akaaga dunia,vikafunikwa tukaja kupewa watoto wake wakati msiba unarudishwa home.

huwezi amini mpaka leo hii nikionja viazi vilivyoungwa huwa inajijia ile image ya siku ile miaka 22 iliyopita.
 
Apumzike kwa amani, pole zangu ziwafikie familia yake.
Hivi huyu Seth na Kanumba walikuwa ni ndugu kwa maana ya mtu na mdogo wake waliochangia wazazi/mzazi au ndugu kiukoo?
Mabinamu ila sijui kwa nini wanaiweka hivi kimakusudi
 
Pole sana mungu akuponye urudi kwenye hali yako,yani hiyo opp labda kwa wenzetu huko nje ila moi ni kujitafutia kifo tu wanacheza na miili ya watu.
Huyo mgonjwa bila nairobi angekua kilema wa kubebwa kwenye wheelchair
 
....Pamoja na yote hayo tutambue kitu kimoja; "Mungu atabakia kuwa Mungu" akisema Christopher Mwakasege
 

Mkuu mkuu .. basi yaishe.. hata hivyo pole sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…