cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Seth kaacha mtoto mmojaHili la kutoachiwa wajukuu nadhan linaumiza zaid,labda wangekuwepo angefarijika japo kidogo. Bt all in all ni mipango ya Mungu iwe hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seth kaacha mtoto mmojaHili la kutoachiwa wajukuu nadhan linaumiza zaid,labda wangekuwepo angefarijika japo kidogo. Bt all in all ni mipango ya Mungu iwe hvyo
Afadhali atamfariji bibi yake
AiseeLuga ya mnyazi
Siku hizi umekuwaje kijana kazi yako kuiga mods tu umbea umekushinda
AfadhaliSeth kaacha mtoto mmoja
Mkuu... ebu elezea kidogo ili ueleweke, maana tayari umeongeza taharuki...
serious mzee,mimi nakumbuka wakati marehemu mama anatutoka 1997,siku hiyo akiwa hospital alipelekewa viazi ya kupika vimeungwa nyanya,vilipelekwa alionja tu akaaga dunia,vikafunikwa tukaja kupewa watoto wake wakati msiba unarudishwa home.Pole sana brother
Mimi kuna dogo nilimlea na akafariki hata kabla ya mwaka. Hadi leo kuna mafuta ya nazi sipendi hata kuyaona maana ndio ilikuwa last gift kumnunulia.
Sasa sipatii picha huyo mother ana hali gani kiukweli. Mungu amtie nguvu
Mabinamu ila sijui kwa nini wanaiweka hivi kimakusudiApumzike kwa amani, pole zangu ziwafikie familia yake.
Hivi huyu Seth na Kanumba walikuwa ni ndugu kwa maana ya mtu na mdogo wake waliochangia wazazi/mzazi au ndugu kiukoo?
Pole sana mungu akuponye urudi kwenye hali yako,yani hiyo opp labda kwa wenzetu huko nje ila moi ni kujitafutia kifo tu wanacheza na miili ya watu.Mimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.
Kumbe ana mume mimi nlijua anafanya ujasiria mwili hapo lumumbaMie yehodaya nilishamuonaga ana shida kichwani!kisa tu mumewe katibu mtendaji[emoji58]!
Kuna watu humu koment zao ni kwa ajili ya kuvuruga mambo tuSina cha kukueleza
Ila wewe ni mpumbavu
Yaaan ni cheap wasted sperm
Thanks.
Kwakwel kwasasa nam mic normal tu kila anaponijia kwenye fikra zangu tofaut na zamani.
Hii kitu ilinifanya nibadil kabisaa namna navyowachukulia hata wanangu kwasasa.Nawapenda lakin kuna namna nimeu tune upendo wangu kwao siku nisije nikafa kwa pressure.Mana nikawaza kama sister tu uchungu wake ni ule,je hawa wanangu damu yangu ambao nahamgika kwa ajil yao.Nawekekeza gharama nying nuu yao itakuaje??
Nikachukua tahadhari mapema na huwa naomba Mungu anisaidie kwakwel kwenye hilo maana najua lipo tu halikwepeki thgh Mu gu pakee ndie ajuae WHEN!!!