Tanzia: Mwalimu Bahiya bint Abdulrahman

Kwahiyo huyo aliyejibiwa hivyo unafikiri ni Muislamu ?

Wakristo mna matatizo sana,yaani mnayaona ya wenzenu yenu hamyaoni,ndio maana sifa ya uadilfu huwa hamna.
Nimedili na aliyejibu si aliyejibiwa.

Uwe unaelewa.
 
Ni kweli kabisa, lakini ni hekma kujibu swali
 
Azarel,
Taazia haishindaniwi huwa inasomwa na watu kubaki kimya kuchelea kumsema vibaya marehemu na hivyo kuwaumiza nduguze na waliompenda katika uhai wake.
Hujajibu swali, unaleta maelezo yasiyoendana na swali langu sheikh
 
Poleni sana! Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarejea! Poleni sana
 
Ufunuo 14:13
13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Hivi kama wewe ni single mom unafikiri ni kila mtu eeh...!

Umetoka kutawadha eeh
Ujumbe umefika tayari msalimie Single Mother mwambie Anko Rubawa anakusalim...
 
Poleni sna kwa Msiba mzito Mzee wngu naomba nisaidie kitu kimoja acha kuwajibu hao watt waliokoza malezi ya wazazi wao naomba sna achana nao kbs...
Rubawa,
Nimekusikia kaka yangu.
 


Mkuu, utawezaje kumjua mtu akiyetokana na kizazi kibaya na cha ZINAA (mwanaharamu)??, ni kupitia maneno na matendo yake ndipo utamjua na mbaya zaidi anatapika UVUNDO katika tanzia na anamtusi Marehemu, bila shaka huyo ni mwana wa Ubilisi.

Yesu, alisema; "kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara hakitapata--" (mathayo 16:4).
 
Sir...
Hakika nasikitika kuwa taazia hii ya mama yetu na mwalimu wetu aliyetufunza mengi mema pamoja na adabu amekuwa sababu ya Majlis kugeuzwa uwanja wa matusi.
 
Nimedili na aliyejibu si aliyejibiwa.

Uwe unaelewa.
Ndio uone wapi ulipokosea,kwa maana umekurupuka,laiti kama ungesoma alichokiandika aliye jibiwa usingeandika ujinga ulio uandika huko.
 

Umenisaidia maneno yangu pia....atakuwa mzee mwenye subra sana....
 
mie sikuelewa kuwa ni Tanzia maana imerepotiwa kama taazia basi kiswahili kinapaa
 
Sir...
Hakika nasikitika kuwa taazia hii ya mama yetu na mwalimu wetu aliyetufunza mengi mema pamoja na adabu amekuwa sababu ya Majlis kugeuzwa uwanja wa matusi.


Sir, mimi naomba unisamehe sana kwani ninashindwa kujizuia kabisa kuwajibu.
 
Ndugu Mohamed tunapishana imani lakini najifunza "utu" sana kutoka kwako!
 
Inna Lillah, Allah ampatie mama yetu Bi Mwalimu (Jirani yangu wa zamani Magomeni) makazi yalo mema. Aaamin Yaraby [emoji1488][emoji1488]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…