TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia.

Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko alik, Amina.

Habari hii ni kwa mujibu wa Gallius ambaye alikuwa mtu wake wa karibu

Kama kuna update yoyote tutajulishana hapahapa
giphy.gif
 
Mungu amjalie pumziko jema la milele, Death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind 🥺 🥺 🥺
 
Bora lingetajwa jina lake kamili na wapi alipofia..

Unaweza kukuta huyu mtu mnajuana mtaani na uko msibani kwake huku unasoma hapa JF kama msiba mwingine..

Binafsi Niko msibani hapa mbezi wa mtu mwingine but nikawaza what if?
 
Back
Top Bottom