Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba basi upokee simu yangu nitashukuru sana.Hebu nyie wajukuu tulieni kwanza
Kaka naomba tuwasiliane, nicheki PM; Nimejaribu kukucheki PM naona umefunga PM.
Huwezi kuamini marehemu alikua amefanya interview hapa ninapofanya kazi (nilikua mmoja wa referrees wake kweny Cv yake); Na asubuhi hii HR wetu ananiambia kuwa jana amemtafuta the whole day kumpatia offer. Kumbe ameshaitwa kwa Mungu baba..... Daaahhhhhh!! Huyu jamaa amenitoa machozi. Naomba tuwasiliane kaka, please.
Gallius
Inakuwepo ila inaandikwa RIP kwa mbele yake (kama unatumia browser utaona)Hivi mtu akifariki hapa JF Id yake inaendelea kuwepo au inafutwa??