TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

Kaka naomba tuwasiliane, nicheki PM; Nimejaribu kukucheki PM naona umefunga PM.
Huwezi kuamini marehemu alikua amefanya interview hapa ninapofanya kazi (nilikua mmoja wa referrees wake kweny Cv yake); Na asubuhi hii HR wetu ananiambia kuwa jana amemtafuta the whole day kumpatia offer. Kumbe ameshaitwa kwa Mungu baba..... Daaahhhhhh!! Huyu jamaa amenitoa machozi. Naomba tuwasiliane kaka, please.
Gallius
 
Usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia.

Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko alik, Amina.

Habari hii ni kwa mujibu wa Gallius ambaye alikuwa mtu wake wa karibu

Kama kuna update yoyote tutajulishana hapahapa
giphy.gif
R.I.P picha yake pls kwa wale tusiomfaham
 
Duu! Pole nyingi kwa familia, ndugu , jamaa na marafiki!
Mwenyezi Mungu aipumzishe ROHO Yake pahala pema peponi! Amina.
 
Rest in peace to our fellow fallen soldier,
you will be remembered for your acts, and we will aknowledge your goodness.
 
Back
Top Bottom