Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

king Davidson

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
252
Reaction score
1,063
yanga.jpg

Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Chipogolo- Mpwapwa.

Mwanachama Maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio za Mwenge huko mkoani Dodoma.

Innah Lilah wainah illah rajiuun

Poleni mashabiki na kiongozi Wa club ya dar young African kwa kuondokewa na shabiki maarufu wa club ya yanga ndg Ally yanga kilichotokea kwa ajaliya gari akiwa kwenye msafara wa mbio za mwenge huko Dodomampwapwa.
19275011_1966510140252640_5000397150137333611_n.jpg

Rest in peace Ally yanga mbele yako nyuma yetu tutakukumbuka sana na tutamiss sana vituko vyako uwanjani na kwenye chama chetu pendwa chama cha mapinduzi mungu akulaze mahali pema na peponi
19420508_451456085234175_8593710777886121536_n.jpg

41110a9c-866c-413f-8baa-22401a03124a (1).jpg

Gari iliyopata ajali
 
hii Habari naona inasambaa kwa kasi muda huu kwenye magroup ya wasap sasa huenda ndio kuzusha ila ngoja tusubiri taarifa rasmi
 
Uongozi, wanachama na wapenzi wa yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na bonge la shabiki wao mpendwa Ally Yanga kwenye ajali ya gari huko mwanza. Mungu aiweke roho ya malahemu mahali pema peponi AMINA
 
Mwanachama Maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio za Mwenge.

Innah Lilah wainah illah rajiuun

ALI1.jpg



c133edf4a4f6a3e648e8c30bd564663b.jpg


1497966782553-jpg.527675


TAARIFA RASMI KUTOKA KLABU YA YANGA


Uongozi wa Yanga SC umepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Ally Yanga, hakika MUNGU ni mwema, faraja ya MUNGU wetu ikawe kwa familia katika kipindi chote cha majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wao, Pia nasi Yanga kifo chake kinaacha pengo kubwa kwa nafasi yake ambayo ilipelekea kujipatia umaarufu mkubwa na alikuwa balozi mzuri kama mwanachama na shabiki mkubwa wa timu yetu, Bwana alitoa, Bwana ametwaa.

Imetolewa na Idara ya Habarai na mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
20-6-2017.
 
Aisee ni shida. Pole kwa familia ya marehemu
 
Mungu akupe kauli Thabiti
 

Attachments

  • ally+yanga+hasira.JPG
    ally+yanga+hasira.JPG
    39.7 KB · Views: 158
Mwenyezi Mungu ampokee anapostahili, kwenye mbio za mwenge alienda kufanya nini?
Ali amekuwa akishiriki katika matukio mbalimbali hata ambayo sio ya kimichezo. Mfano aliwahi kuonekana kwenye kampeni za uchaguzi za chama kimoja hapa Tanzania mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom