Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Enzi hizo Jumamosi saa nane mchana,tunakaa pembeni ya Redio kusikiliza Mama na Mwana.OK thanks, kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi hizo Jumamosi saa nane mchana,tunakaa pembeni ya Redio kusikiliza Mama na Mwana.OK thanks, kitambo sana
Huyu alikuwa wakati wa mkapaNdiyo ni kipindi cha JK mkuu.
Deborah Mwenda ni mtu mzima kwa sasa....Enzi hizo Jumamosi saa nane mchana,tunakaa pembeni ya Redio kusikiliza Mama na Mwana.
Yuko Kilombero anakomaa na mpunga kaka na kama upo Dar yupo Kigamboni kule kwenye boma lao kuu kwa ajili ya msiba.Hivi Sunday yuko wapi siku hizi?
Aliyekuwa meaning si mkuu tena maana ni hayatiPoleni wafiwa. Namkumbuka kipindi cha mama na mwana RTD.
Wasira yupo mbonaJamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .